Matokeo yaliyotangazwa leo yanaonyesha kuwa kwa ujumla asilimia 87.79% ya watahiniwa waliofanya mtihani huo wamefaulu ambapo ni sawa na ongezeko la ufaulu la asilimia 0.49% ukilinganisha na asilimia ...
DAR ES SALAAM :BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne, ambapo ufaulu ...
(Dar es Salaam, 14, Februari 2017) – Zaidi ya asilimia 40 ya vijana wa Tanzania hawapati elimu bora ya awamu ya kwanza ya sekondari (kidato cha kwanza hadi cha nne), mbali na uamuzi chanya wa serikali ...
DAR ES SALAAM : BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya wanafunzi 19, wakidaiwa waliandika matusi kwenye ...
Shirika lisilo la kiserikali la haki elimu nchini Tanzania limesema kuwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne sio ya kujivunia kutokana na zaidi ya nusu ya watahiniwa kupata ufaulu wa daraja la nne na ...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imelazimika kufuta matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012 baada ya Tume iliyoundwa na Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda kubaini uwepo wa mapungufu na ...
Nchi nyingi zimeruhusu masomo kuendelea miezi kadhaa baada ya shule kufungwa virusi vya corona viliporipuka. Kenya ni miongoni mwa nchi hizo, ikiwaruhusu wanafunzi wa darasa la nne, nane na kidato cha ...