“Alinipigia kuniuliza mchana nimepika nini, nikamwambia nimepika ugali. Akasema atakuja muda si mrefu, ameitwa anakwenda kukutana na afande Edward kwenye baa moja huko Nyakato. Huyu afande Edward ...