KILA siku tunasikia biti nzuri na za kuvutia katika nyimbo za wasanii, lakini nyuma ya pazia kuna mchakato uliobeba matukio mengi hadi kukamilika kwa utayarishaji wake.
BAADHI ya wanamuziki wa Bongofleva, katika kuandika, kutayarisha na kurekodi nyimbo zao, huwa wanapata na hata kuchukua mawazo kutoka katika kazi ambazo zilifanya vizuri hapo awali.
Siku moja tu baada ya kuimarisha umaarufu wake kwa kujishindia mataji mawili ya tuzo za Afrimma mwanamuziki wa Bongo fleva Diamond Platinumz anaendelea kuvutia mashabiki wapya kila uchao. Alishangazwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results