KWA Abdul-Azizi Ali Khamis, kuhitimu kidato cha sita na kupata daraja la pili katika tahasusi ya sayansi, akisoma fizikia, kemia na hisabati (PCM) ni mafanikio, lakini huenda angeng’ara zaidi kama ...
Fauzia Rajab Shaban, mwanafunzi mwenye ualbino kutoka Kisauni, Zanzibar, aliyehitimu kidato cha sita na kupata ufaulu wa daraja la kwanza, ameeleza kuguswa na kusikitishwa kwake na matukio ya ukatili ...
Tume Huru ya Uchaguzi nchini Côte d'Ivoire imechapisha matokeo makuu ya uchaguzi wa wabunge uliofanyika Desemba 27. Uchaguzi huo ulioshuhudia uwepo mkubwa wa wagombea huru, mashindano kati ya chama ...
Dar es Salaam. Kipindi cha kusubiri matokeo ya mitihani ya kidato cha pili na cha nne, ni hatua muhimu katika safari ya elimu ya mtoto. Mara nyingi muda huu huwa mrefu na huambatana na changamoto ...
MITIHANI ya taifa ya kidato cha nne imeanza leo nchini ikiwa ni kilele cha safari ya miaka minne ya masomo kwa maelfu ya wanafunzi wa shule zote za sekondari za serikali na binafsi. Wakati wanafunzi ...
Dar es Salaam. Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa ...
BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema idadi ya watahiniwa wa kidato cha nne imeongezeka kwa asilimia 7.67 mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana. Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said ...
Ingawa Tume hiyo inasema kuwa bado haifahamu ukubwa wa tatizo, lakini inaisitiza kwamba matokeo ya uchunguzi huo yanaweza kukamilika chini ya miezi miwili. Na Mariam Mjahid & Asha Juma Chanzo cha ...
Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema kimeyakataa matokeo yaliyompa ushindi Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi uliosababisha maandamano na vurugu katika maeneo mengi ya taifa hilo la Afrika ...
Matokeo ya uchaguzi wa wabunge wa Septemba 27, 2025, yametangazwa usiku wa Septemba 28. Chama cha Democratic Union of Builders (UDB), chama cha Rais Oligui Nguema, ndicho kinaongoza. Kimeshinda ...